Je ninawezaje kupata...
Je ninawezaje kupata Bidhaa zenu?

Wasiliana na Maafisa Masoko wetu waliopo kwenye Ofisi zetu za Kanda (Arusha,Dodoma,Dar es Salaam,Iringa na Mwanza) kutoa order ya bidhaa unazohitaji na watakujibu ndani ya saa 24.