Dira ya Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko


Kuwa Taasisi bora duniani katika biashara na usimamizi wa nafaka na mazao mchanganyiko.

Dhima ya Bodi na Nafaka na Mazao MChanganyiko


Kushiriki katika kuwezesha biashara, kukuza, kuendeleza nafaka na bidhaa nyingine za kilimo zenye ubora ili kuleta faida katika mnyororo mzima wa thamani na hatimaye kuchangia katika ukuaji wa sekta na kuboresha maisha miongoni mwa watanzania.