CPB imejipanga kutekeleza miradi ya kimkakati ambayo itahusisha ujenzi wa viwanda vya kuongeza thamani utakao kwenda sambamba na ujenzi wa Vihenge na Ghala za kuhifadhia mazao,kwa miaka mitatu kuanzia mwaka 2022/2023-2024/2025.