• Ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta ya Alizeti chenye uwezo wa kuchakata Tani 40 kwa siku (Kizota-Dodoma)
  • Ujenzi wa kiwanda cha kuchakata unga wa Mahindi chenye uwezo wa kuchakata Tani 60 kwa siku (Kizota-Dodoma)
  • Ujenzi wa kiwanda cha kuchakata unga wa Ngano chenye uwezo wa kuchakata Tani 120 kwa siku (Unga limited-Arusha)
  • Ujenzi wa kiwanda cha kukoboa Mpunga chenye uwezo wa kukoboa Tani 96 kwa siku (Mkuyuni-Mwanza)
  • Ukarabati wa ghala (Mbugani-Dodoma)
  • Ukarabati wa ghala (Kiteto)
  • Ujenzi wa ghala lenye uwezo w kuhifadhi tani 5000
  • Ukarabati wa vihenge(Arusha)