Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko inajihusisha na kununua Nafaka za aina zote kutoka kwa mkulima.
Wasiliana na Maafisa Masoko wetu waliopo kwenye Ofisi zetu za Kanda (Arusha,Dodoma,Dar es Salaam,Iringa na Mwanza) kutoa order ya bidhaa unazohitaji na watakujibu ndani ya saa 24.
Hapana, Bodi inajihusisha na ununuzi wa mazao.