Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko imepewa mamlaka ya kufanya biashara ya nafaka katika masoko ya ndani na nje ya mipaka ya nchi yetu,ili kuhakikisha bidhaa za CPB zinapata soko kubwa, Bodi imejikita katika kuongeza thamani kwenye bidhaa zake kwa kuzingatia ubora, usafi wa hali ya juu pamoja na kutumia technolojia za kisasa kwenye viwanda katika kuzalisha bidhaa zake.CPB imeanzisha vituo vya mauzo katika mikoa mbalimbali ndani na nje ya nchi, ili kuweza kununua bidhaa za CPB ukiwa Tanzania unaweza kutembelea vituo vyetu vya mauzo vilivyopo Dodoma, Arusha, Iringa, Mwanza na Dar es Salaam.


KWA MAWASILIANO PIGA SIMU:


+255(0)677074034,+255(0)713800703-DODOMA


+255(0)677073937,+255(0)677078405-ARUSHA


+255(0)677073933-DAR ES SALAAM


+255(0)677073932-MWANZA


+255(0)677073937-IRINGA


MITANDAO YA KIJAMII:


FACEBOOK:  @Cpb_Tanzania,  INSTAGRAM@ Cpb_Tanzania, TWITTER@ Cpb_Tanzania,YOUTUBE@CPB_Tanzania


BARUA PEPE:


sales@cpb.go.tz