Semina Elekezi Kwa Uongozi Mpya
Viongozi wapya wa Bodi wakiwa kwenye Semina, wa kwanza kutoka upande kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bw. Salum Awadh,Kaimu Mkurugenzi wa Fedha na Utawala Dkt. Boniface Chandaruba na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Biashara Bw. Evance Mwanibingo.