Ziara ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)
Kaimu Meneja wa CPB Kanda ya Ziwa akiiongozana Kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) kuelekea katika Kiwanda cha kuchakata Mpunga kilichopo Mkuyuni Jijini Mwanza .