Huduma ya Uhifadhi wa Mazao
Huduma ya Uhifadhi wa Mazao
CPB ina maghala yenye uwezo wa kuhifadhi tani 100,000 kwa wakati mmoja,yaliyopo Arusha,Mwanza,Dodoma na Iringa.