Huduma za Ugani
CPB hutoa huduma za ugani kwa wakulima wa alizeti, ngano, mtama mweupe na maharage ya soya, kupitia mikataba ya ukulima inayoingiwa kati ya CPB na wakulima hao katika mikoa ya Dodoma, Arusha, na Songea.