Generic placeholder
Patrick Magologozi Mongella

Mkurugenzi Mkuu

Wasifu Karibu
HISTORIA NA USULI

Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (Cereals and Other Produce Board – CPB) ilianzishwa kwa Sheria ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko Na. 19 ya mwaka 2009.Tofauti na Bodi nyingine za mazao ambazo huwa na jukumu la kusimamia zao/ mazao, Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko imepewa jukumu la kufanya biashara ya nafaka na mazao mengine ili kumwezesha mkulima kupata soko la uhakika na bei shindani ya mazao yake. Vilevile, Bodi ina jukumu la uendelezaji katika sekta ya nafaka na mazao mengine...

Soma zaidi